Processing...

News Room

SERIKALI INAVYOIPA NGUVU KCMC DHIDI YA EBOLA

+8 More Images

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini – KCMC imefanya mapitio ya utayari wake katika kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, kufuatia ziara ya Dkt. Erasto Sylvanus - Mkurugenzi wa Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya (picha ya kwanza katikati) - akimwakilisha Mganga Mkuu wa Serikali, akiambatana na wawakilishi kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Ziara hiyo imelenga kutathmini hali ya utayari wa hospitali katika kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, kwa kuangalia mifumo iliyopo ya kujikinga na kudhibiti maambukizi, utambuzi wa wagonjwa wanaoweza kuwa na dalili zinazoashiria ugonjwa huo, pamoja na taratibu za kuchukua hatua za haraka endapo kutatokea mgonjwa anayeshukiwa kuwa na maambukizi ya Ebola. KCMC inaendelea kushirikiana na Wizara ya Afya pamoja na mamlaka nyingine katika kuimarisha mifumo ya maandalizi na mwitikio wa dharura, kwa lengo la kulinda afya za wananchi na kuhakikisha huduma za afya zinaendelea kutolewa kwa usalama.

Related Stories

KCMC NA HOPE MOBILITY WALETA TABASAMU KWA WATU 300+
2026-10-19 00:00:00

KCMC NA HOPE MOBILITY WALETA TABASAMU KWA WATU 300+

READ ARTICLE
SERIKALI INAVYOIPA NGUVU KCMC DHIDI YA EBOLA
2026-10-18 00:00:00

SERIKALI INAVYOIPA NGUVU KCMC DHIDI YA EBOLA

READ ARTICLE
KCMC YAENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA HOSPITAL KANDA ZA KASKAZINI
2026-10-16 00:00:00

KCMC YAENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA HOSPITAL KANDA ZA KASKAZINI

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre