Processing...

News Room

KCMC YAPOKEA FLOW OXYGEN METERS KUTOKA CRDB BANK

KCMC YAPOKEA FLOW OXYGEN METERS KUTOKA CRDB BANK
KCMC YAPOKEA FLOW OXYGEN METERS KUTOKA CRDB BANK
KCMC YAPOKEA FLOW OXYGEN METERS KUTOKA CRDB BANK
+8 More Images

Leo, tarehe 20 Novemba 2026, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini – KCMC imepokea vifaa saidizi vya hewa tiba (Oxygen Flow Meters) kama msaada kutoka Benki ya CRDB Tanzania. Msaada huo umekabidhiwa na Ndugu Cosmas Sadat, Zonal Manager, akishirikiana na Ndugu Salestine Mchome, Branch Manager wa CRDB Bank, Tawi la KCMC, na kupokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Bw. Steven Kolimba. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Bw. Steven Kolimba amesema kuwa vifaa hivyo vitachangia kuboresha huduma za matibabu na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma ya oksijeni kwa wagonjwa wanaoihitaji. “Tunawashukuru sana @crdbbankplc kwa moyo wa kujitoa na kuunga mkono juhudi za Hospitali yetu. Msaada huu ni ushahidi wa dhati wa ushirikiano wetu wenye lengo la kuokoa maisha na kuboresha afya za wagonjwa wetu. Mungu awabariki sana kwa kazi njema mnayoifanya kwa jamii,” amesema Bw. Kolimba. Uongozi wa KCMC unaendelea kutoa shukrani za dhati kwa Benki ya CRDB na wadau wote wanaoendelea kushirikiana na Hospitali katika kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana kwa jamii.

Related Stories

MAHAFALI YA 105 YA CPE YAFANYIKA KCMC
2026-11-20 00:00:00

MAHAFALI YA 105 YA CPE YAFANYIKA KCMC

READ ARTICLE
KCMC YAPOKEA FLOW OXYGEN METERS KUTOKA CRDB BANK
2026-11-20 00:00:00

KCMC YAPOKEA FLOW OXYGEN METERS KUTOKA CRDB BANK

READ ARTICLE
KUTOKA SWEDEN HADI KCMC
2026-11-17 00:00:00

KUTOKA SWEDEN HADI KCMC

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre