Processing...

News Room

BAJETI YA 2026/2027 YAWAKUTANISHA

BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
+12 More Images
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
BAJETI YA 2026/2027  YAWAKUTANISHA
Menejimenti ya Hospitali ya KCMC leo imeketi pamoja na Kamati ya Bajeti katika kikao kilicholenga kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027. Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kujadili bajeti iliyowasilishwa na kamati hiyo, pamoja na kutoa nafasi kwa wajumbe wa menejimenti ya hospitali kuchangia mawazo, maoni na ushauri utakaosaidia kuboresha na kuimarisha mpango huo wa kifedha. Katika kikao hicho, viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo Wakurugenzi, Wakuu wa Idara, vitengo na Waratibu walipata fursa ya kuchambua vipaumbele vilivyowekwa katika bajeti hiyo, sambamba na kujadili shughuli na miradi mbalimbali inayolenga kuendeleza huduma zinazotolewa na hospitali. Aidha, wajumbe walitoa mapendekezo mbalimbali yaliyolenga kuhakikisha bajeti hiyo inaendana na mahitaji halisi ya hospitali pamoja na kuimarisha ufanisi katika matumizi ya rasilimali zilizopo.

Related Stories

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT
2026-09-08 00:00:00

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT

READ ARTICLE
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
2026-09-07 00:00:00

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU

READ ARTICLE
BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA
2026-08-27 00:00:00

BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre