Processing...

News Room

KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT

KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
+18 More Images
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
KCMC ITAPENDEZA NA CORAL PAINT
Hospitali ya KCMC imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kwa ajili ya kuboresha huduma na miundombinu yake. Leo tarehe 10/09/2025 KCMC imepokea wageni kutoka INSIGNIA Ltd (Coral Paint) wakiongozwa na Meneja wao kwa Mkoa wa Kilimanjaro, Bi. Lusajo Mwambene, na kutoa msaada wa rangi kwa ajili ya kuboresha mandhari na miundombinu ya hospitali. Katika tukio hili, Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC Prof. Gileard Masenga amewashukuru kwa moyo wa upendo na mshikamano waliouonyesha kupitia msaada huu ambao unaambatana na mafunzo ya kuongeza ujuzi wa mbinu za kisasa za upakaji rangi kwa wataalamu wetu wa rangi hapa KCMC.

Related Stories

NAMNA KCMC INAVYOTUMIA AI NA 3D
2026-09-16 00:00:00

NAMNA KCMC INAVYOTUMIA AI NA 3D

READ ARTICLE
KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT
2026-09-08 00:00:00

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT

READ ARTICLE
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
2026-09-07 00:00:00

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre