Processing...

News Room

KCMC YAAMTUNUKU TUZO YA HESHIMAA

KCMC YAAMTUNUKU TUZO YA HESHIMAA
Pichani ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa Tuzo ya Heshima kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya GSF/KCMC ambaye pia ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kwenye sherehe za uzinduzi wa Jengo la Tiba Mionzi katika viwanja vya KCMC, Moshi Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 24 Juni 2026.

Related Stories

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT
2026-09-08 00:00:00

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT

READ ARTICLE
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
2026-09-07 00:00:00

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU

READ ARTICLE
BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA
2026-08-27 00:00:00

BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre