Processing...

News Room

MHE. RAISI AKIPATIWA MAELEZO KUHUSU VIFAA VYA TIBA MIONZI

+5 More Images

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipatiwa maelezo kuhusu vifaa vya Tiba ya Mionzi vilivyopo ndani ya jengo alilolizindua leo tarehe 24 hapa KCMC. Maelezo hayo yamemuwezesha kujionea uwezo wa teknolojia iliyowekezwa katika kuboresha huduma za matibabu ya saratani na kuimarisha huduma za kibingwa nchini. Endelea kufuatilia matukio haya muhimu moja kwa moja kutoka KCMC.

Related Stories

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT
2026-09-08 00:00:00

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT

READ ARTICLE
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
2026-09-07 00:00:00

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU

READ ARTICLE
BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA
2026-08-27 00:00:00

BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre