Processing...

News Room

KCMC YAPONGEZWA USHIRIKI KTK KKKT MARATHON 2026

KCMC YAPONGEZWA USHIRIKI KTK KKKT MARATHON 2026
KCMC YAPONGEZWA USHIRIKI KTK KKKT MARATHON 2026
KCMC YAPONGEZWA USHIRIKI KTK KKKT MARATHON 2026
+2 More Images
KCMC YAPONGEZWA USHIRIKI KTK KKKT MARATHON 2026
Leo, tarehe 20 Juni 2026, Hospitali ya KCMC imepokea Cheti cha Shukrani na Utambuzi kwa mchango wake pamoja na kuwezesha ushiriki wa watumishi katika KKKT Marathon 2026 iliyofanyika jijini Arusha. Kwa niaba ya uongozi wa KCMC, Mkurugenzi wa Tiba, Dkt. Sarah Urasa, alipokea cheti hicho kilichotolewa na Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Baba Askofu Dkt. Alex Malasusa, kama ishara ya kuthamini ushiriki na mchango wa hospitali katika kuunga mkono mbio hizo zenye lengo la kugusa maisha ya jamii.

Related Stories

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT
2026-09-08 00:00:00

KCMC NA TVOH YAWAANGAZIA WENYE JINSI TAT

READ ARTICLE
KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU
2026-09-07 00:00:00

KCMC, EGPAF ZAJADILI AFYA YANGU

READ ARTICLE
BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA
2026-08-27 00:00:00

BANDA LA KCMC LAVUTIA WAGENI ARUSHA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre