Processing...

2026-01-13 00:00:00 TIBA 5 min read

KURUGENZI YA TIBA INAVYOIMARISHA IDARA ZAKE

Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba - KCMC Dkt. Sarah Urasa wa kwanza mkono wa kulia akiambatana na Maafisa Utumishi na Utawala ameongoza kikao na watumishi wa Idara ya Patholojia kikilenga kujadili na kupanga masuala mbalimbali ya kiutendaji kwa mwaka 2026. Kikao hiki kimeangazia mikakati ya kuboresha utoaji wa huduma za afya, kuimarisha utendaji wa idara pamoja na kuweka vipaumbele vitakavyochangia huduma bora, za kisasa na zenye ufanisi kwa wagonjwa.

Related News

Medical technology
2026-04-01 00:00:00

MAPAMBANO DHIDI YA SARATANI YASHIKA KASI: KCMC YAZINDUA KAMATI MAALUM

Read Story →
Medical technology
2026-03-24 00:00:00

MAPAMBANO DHIDI YA LISHE DUNI

Read Story →
Medical technology
2026-03-19 00:00:00

KAMPENI YA UCHANGIAJI KITENGO CHA MOYO - KCMC

Read Story →

Leave a Comment