MAFUNZO KUTOKA REAL MADRID FOUNDATION

Feb 28, 2024

...

Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC Prof. Gileard Masenga amefungua mafunzo kwa makocha wa timu ya mpira wa miguu kutoka KCMC, MWECAU, MOCU na shule ya msingi Mwereni, mafunzo haya yanatolewa kwa siku tatu na wakufunzi kutoka real madrid foundation yakiongozwa na Miguel Angel Montoya.

... mafunzo haya yanalenga kuwapatia makocha elimu itakayosaidia timu za mpira wa miguu kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi wanaopata matibabu hapa hospitalini KCMC.