Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC Dr. Gileard Masenga,akitoa maelezo ya ufunguzi wa Ujenzi wa Business Centre
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC Dr. Gileard Masenga, akikata Utepe kuashiria ufunguzi wa Ujenzi wa Business Centre
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC Dr. Gileard Masenga, Akimkabidhi Mkandarasi ramani ya ujenzi wa Jengo la "Business Centre
Provost wa Chuo cha Tiba cha KCMUCo(Prof. E. Kessy) akipiga jembe kuashiria mwanzo wa Ujenzi wa Business Centre
Wachungaji wakifanya sala ya maombezi wakati wa Ufunguzi wa Ujenzi wa Jengo la Business Centre
Mkurugenzi wa Fedha Bi. Hilda Mungure, akilima kuashiria mwanzo wa ujenzi wa Business Centre
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC wakimsikiliza Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Utumishi na Utawala Bw. Stephen E. Kolimba (ambaye hayupo Pichani) wakati wa Ufunguzi wa Ujenzi wa Jengo la Business Centre
"Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Shirika la Msamaria Mwema la Tanzania(GSF) Askofu Alex Malasusa akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo wa KCRI Prof.Gibson Kibiki"
"Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Shirika la Msamaria Mwema la Tanzania(GSF) Askofu Alex Malasusa akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo wa KCRI Prof.Gibson Kibiki pamoja na Bi Esther Kimambo mjumbe wa bodi wa Shirika hilo"
"Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Shirika la Msamaria Mwema la Tanzania(GSF) Askofu Alex Malasusa akiwa na wajumbe wa bodi hilo akikagua ukarabati wa ukumbi wa mikutano wa hospitali ya Rufaa ya KCMC"
"Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Shirika la Msamaria Mwema la Tanzania(GSF) Askofu Alex Malasusa akiwa na wajumbe wa bodi ya Shirika hilo akikagua ukarabati wa ukumbi wa mikutano wa hospitali ya Rufaa ya KCMC"
"Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Shirika la Msamaria Mwema la Tanzania(GSF) Askofu Alex Malasusa akikagua ukarabati wa Idara ya dharura(emergency medicine) katika hospitali ya Rufaa ya KCMC."
"Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Shirika la Msamaria Mwema la Tanzania(GSF) Askofu Alex Malasusa akiwa na wajumbe wa bodi hilo akikagua huduma zitolewazo na hospitali ya Rufaa ya KCMC."
"Wajumbe wa bodi wa Shirika la Msamaria Mwema la Tanzania(GSF) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao hivi karibuni"