BANK OF AFRICA NI MDAU WA KCMC
Jioni ya leo tarehe 23/04/2026, Uongozi wa Hospitali ya KCMC ukiongozwa na Prof. Gileard Masenga pamoja na Uongozi wa Tanlink Health Care Foundation ukiongozwa na Dkt. Siraj Mtulia umekutana na Uongozi wa Bank of Africa Tanzania ukiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ndugu Wasia Mushi, lengo ni kujadiliana namna bora ya uchangiaji wa ujenzi wa taasisi ya moyo KCMC
Related Stories