Processing...

News Room

KCMC TUPO AICC

KCMC TUPO AICC
KCMC TUPO AICC
KCMC TUPO AICC
+3 More Images
KCMC TUPO AICC
KCMC TUPO AICC
Viongozi na Wanachama wa TANNA – Tawi la KCMC wamewasili katika ukumbi wa Arusha International Conference Centre (AICC) kwa ajili ya kushiriki Kongamano la Wauguzi linaloanza rasmi leo tarehe 09 Mei 2026. Kongamano hili linaunganisha wauguzi kutoka maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuendelea kuimarisha huduma bora za afya kwa jamii.

Related Stories

SIKU IMEWADIA
2026-06-24 00:00:00

SIKU IMEWADIA

READ ARTICLE
WAMESTAAFU LAKINI BADO WAPO NASI
2026-06-24 00:00:00

WAMESTAAFU LAKINI BADO WAPO NASI

READ ARTICLE
BURUDANI ZINAENDELEA
2026-06-24 00:00:00

BURUDANI ZINAENDELEA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre