Processing...

News Room

KMC YAZINDUA KAMPENI YA UCHANGIAJI WA JENGO LA MATIBABU YA MOYO

KMC YAZINDUA KAMPENI YA UCHANGIAJI WA JENGO LA MATIBABU YA MOYO
KMC YAZINDUA KAMPENI YA UCHANGIAJI WA JENGO LA MATIBABU YA MOYO
KMC YAZINDUA KAMPENI YA UCHANGIAJI WA JENGO LA MATIBABU YA MOYO
+10 More Images

Mapema leo tarehe 09 aprili 2026 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, Uongozi wa Hospitali ya KCMC umefanya mkutano na waandishi wa habari kutangaza rasmi kampeni ya uchangiaji wa ujenzi wa Jengo la Matibabu ya Moyo. Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Prof. Gileard Masenga, ameongoza mkutano huu nakueleza kuwa magonjwa ya moyo yanaendelea kuwa tishio kubwa, yakichangia idadi kubwa ya vifo duniani na hapa nchini. Ndani ya KCMC pekee, wagonjwa wa moyo ni sehemu kubwa ya wanaolazwa na baadhi yao hulazimika kulazwa mara kwa mara, hali inayoonesha ukubwa wa changamoto. Kutokana na hali hiyo, KCMC imeanzisha mradi wa kujenga kituo cha kisasa cha moyo kitakachotoa huduma zote muhimu ikiwemo uchunguzi, matibabu ya kisasa na upasuaji wa moyo. Lengo ni kupunguza rufaa za nje ya nchi na kuokoa maisha ya Watanzania wengi zaidi. Mradi huu unatarajiwa kugharimu takribani shilingi bilioni 50 (bilioni 25 ujenzi na bilioni 25 vifaa) ambapo tayari wadau wa kimataifa wamejitolea kufadhili sehemu kubwa ya gharama. Hata hivyo, mchango wa Watanzania bado ni muhimu ili kufanikisha azma hii kubwa ya kitaifa. Kupitia mkutano huu, KCMC imetoa wito kwa Watanzania wote ndani na nje ya nchi kuungana katika juhudi hizi za kuokoa maisha. Kila mchango ni muhimu. Kila mchango ni uhai. Tuchangie leo, tuokoe maisha kesho. #KCMC #AfyaYaMoyo #Tanzania #SaveLives

Related Stories

TANGA KUSHIRIKI UJENZI
2026-04-27 00:00:00

TANGA KUSHIRIKI UJENZI

READ ARTICLE
KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.
2026-04-24 00:00:00

KCMC 'Ni mazungumzo na wananchi'.

READ ARTICLE
KCMC NA EFM PAMOJA
2026-04-24 00:00:00

KCMC NA EFM PAMOJA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀 CHANGIA JENGO LA MOYO