Processing...

2025-12-20 00:00:00 UTUMISHI 5 min read

WAMALIZA UTUMISHI ULIOTUKUKA

Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Katika mwendelezo wa Ibada ya Shukrani ya Krismasi iliyofanyika katika Hagai Chapel – KCMC, na kuongozwa na Mhe. Baba Askofu Dkt. Fredrick O. Shoo, uongozi wa KCMC pia ulitumia fursa hiyo adhimu kuwatambua na kuwapongeza watumishi wastaafu 29 kutoka fani mbalimbali za utoaji wa huduma kwa utumishi wao uliotukuka na wa kujitoa kwa miaka mingi. Katika ibada hiyo, watumishi hao wastaafu walitambuliwa hadharani kama ishara ya kuthamini mchango wao mkubwa walioutoa wakati wakihudumu hapa KCMC. Wakati wa kuwatambua, wastaafu hao walipokea zawadi, shukrani na pongezi kutoka kwa uongozi, watumishi na waumini waliokuwepo. Kwa kuwatambua watumishi wastaafu 29, KCMC inaendeleza utamaduni wake wa kuthamini mchango wa kila mtumishi, ikisisitiza kuwa utumishi wa kweli haupimwi kwa muda pekee bali kwa athari chanya inayoachwa kwa wagonjwa, jamii na taasisi kwa ujumla.

Related News

Medical technology
2025-12-20 00:00:00

WALIOMALIZA MASOMO WAMSHUKURU MUNGU

Read Story →
Medical technology
2025-12-20 00:00:00

WAMALIZA UTUMISHI ULIOTUKUKA

Read Story →
Medical technology
2025-12-19 00:00:00

TUMEUONA MKONO WA MUNGU WENYE NGUVU

Read Story →

Leave a Comment