Processing...

2025-12-20 00:00:00 IBADA 5 min read

WALIOMALIZA MASOMO WAMSHUKURU MUNGU

Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Research data
Hospitali ya KCMC kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeandaa chai na chakula cha mchana kwa wagonjwa, ndugu wa wagonjwa, wanafunzi pamoja na watumishi wa KCMC, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Sikukuu ya Krismasi hapa KCMC. Hatua hii imelenga kuonesha upendo, mshikamano huku ikiwapa faraja na tabasamu wale wote waliopo hospitalini na wanaokuja kuona ndugu zao katika kipindi hiki cha sikukuu. Katika zoezi hili la kukarimu wagonjwa, ndugu wa wagonjwa, wanafunzi na watumishi marafiki wa KCMC wakiwemo Uchumi Bank, Bank of Africa, Kondiki Milk pamoja na Linda Mushi walishiriki zoezi la ugawaji wa chai na chakula cha mchana. Akizungumza kwa niaba ya ndugu wa wagonjwa, mmoja wa ndugu hao aliipongeza Hospitali ya KCMC kwa kuandaa chai na chakula hicho, akibainisha kuwa msaada huo umepunguza gharama za siku ya leo wakati alipokuja kumtembelea mgonjwa wake.

Related News

Medical technology
2025-12-20 00:00:00

WALIOMALIZA MASOMO WAMSHUKURU MUNGU

Read Story →
Medical technology
2025-12-20 00:00:00

WAMALIZA UTUMISHI ULIOTUKUKA

Read Story →
Medical technology
2025-12-19 00:00:00

TUMEUONA MKONO WA MUNGU WENYE NGUVU

Read Story →

Leave a Comment