Processing...

News Room

KCMC YAENDESHA UPASUAJI REKEBISHI WA USO, KINYWA NA TAYA

+8 More Images

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini -KCMC kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Madaktari Bingwa kutoka Uholanzi, inaendelea kuendesha Kambi Maalum ya Upasuaji Rekebishi wa Uso, Kinywa na Mataya (Orthognathic Surgery and Jaw Reconstruction). Kambi hiyo ilianza tarehe 14 Oktoba 2026 na inatarajiwa kuhitimishwa tarehe 28 Oktoba 2026, ambapo takribani wagonjwa zaidi ya 30 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi watanufaika na huduma hiyo. Wagonjwa wanaolengwa ni pamoja na wenye changamoto kama vile uvimbe katika maeneo ya uso, kinywa na mataya, pamoja na wenye mpangilio usio sawa wa meno unaohusisha mifupa ya uso na taya. KCMC inawakaribisha wananchi wenye matatizo hayo kufika katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC kwa uchunguzi na matibabu.

Related Stories

KCMC YAENDESHA UPASUAJI REKEBISHI WA USO, KINYWA NA TAYA
2026-10-22 00:00:00

KCMC YAENDESHA UPASUAJI REKEBISHI WA USO, KINYWA NA TAYA

READ ARTICLE
KCMC NA HOPE MOBILITY WALETA TABASAMU KWA WATU 300+
2026-10-19 00:00:00

KCMC NA HOPE MOBILITY WALETA TABASAMU KWA WATU 300+

READ ARTICLE
SERIKALI INAVYOIPA NGUVU KCMC DHIDI YA EBOLA
2026-10-18 00:00:00

SERIKALI INAVYOIPA NGUVU KCMC DHIDI YA EBOLA

READ ARTICLE

Join the Discussion

× Preview
🫀
CHANGIA JENGO LA MOYO
Saidia Ujenzi wa Cardiovascular Centre